Wizara ya Mambo ya Ndani Yaliomba Bunge kuidhinisha bajeti ya Sh. Bilioni 921.2

Wizara ya Mambo ya Ndani imeliomba Bunge kuidhinisha bajeti ya Sh 921.2 bilioni mwaka wa fedha 2019/2020.Kati ya fedha hizo, Sh889.3 bilioni ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida,Sh372.2 bilioni kwa ajili ya matumizi mengineyo na ShSh517 bilioni za mishahara.Fedha za miradi ya maendeleo ni Sh 31bilioni na kati ya fedha hizo za maendeleo, Sh21.5 bilioni ni fedha za ndani na Sh10.4 bilioni ni fedha za nje.Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni leo Jumatano Aprili 24, Waziri wa Wizara ya Mmabo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema vipaumbele vya bajeti hiyo...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News