Wizara Ya Mambo Ya Ndani Yatuma Rambirambi Kwa Wafiwa Wa Ajali Iliyotokea Jijini Mbeya

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, inatoa pole kwa familia zote ambazo zimepoteza ndugu na jamaa zao na wengine kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matano, iliyotokea katika eneo la Igawilo Mjini Mbeya siku ya tarehe 7 Septemba, 2018 na kusababisha vifo vya watu 15 na kujeruhi wengine.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Kangi Alphaxard Lugola, (MB), kwa masikitiko makubwa anatoa pole kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao na kuwatakia majeruhi wote ahueni ya haraka ili warejee katika hali zao za kawaida na kuendelea na shughuli...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News