WIZKID AIBUKIA ARSENAL, LEICESTER CITY

LONDON, England   JEZI za staa Wizkid ambazo zina jina la lebo yake ya Star Boy zimevaliwa na mastaa wa Arsenal na Leicester City, Alex Iwobi na Wilfred Ndidi. Wachezaji hao walioiwakilisha Nigeria katika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu nchini Urusi, wanaungana na Pierre-Emerick Aubameyang, aliyefanya hivyo siku chache zilizopita. The post WIZKID AIBUKIA ARSENAL, LEICESTER CITY appeared first on Bingwa....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News