Wziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Akilihairisha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania leo Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Mbili  wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania leo jijini DodomaWaziri Mkuu wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News