Ya Joshua Nassari na ubunge wake

NIMESOMA yanayomhusu Joshua Samwel Nassari, mbunge wa Arumeru Mashariki, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu kuvuliwa ubunge wake. Nimeona hapa kuna mwelekeo mkubwa wa kukubaliana na hukumu ya Spika Job Ndugai, kwamba Mheshimiwa Nassari hajahudhuria Mikutano Mitatu Mfululizo ya Bunge, kwa hiyo amepata anachostahili. Baadhi wameenda mbali zaidi na kudai Nassari ‘amevuta mpunga’ ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News