YANGA NEEMA Rostam kumwaga Mil 200, aahidi kusaidia zaidi GSM wapandwa mzuka, waitwanga Mil 300

NA MOHAMED KASSARA -DAR ES SALAAM NEEMA imefunguliwa, ndivyo unaweza kusema, baada ya klabu ya Yanga  jana kufanya harambee yake iliyopewa jina la ‘Kubwa Kuliko’ kwa mafanikio makubwa, kutokana na kukusanya mamilioni ya fedha taslimu na pamoja na ahadi kutoka kwa wadau mbalimbali wa michezo. Harambee hiyo ilifanyika jana katika Ukumbi wa  Diamond  Jubilee jijini  Dar  Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa alisema huo ni mwanzo mzuri wa klabu ya Yanga katika kutafuta mfumo mzuri wa uendeshaji wake kama ilivyo kwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News