YANGA YA KARNE

Kusajili vifaa hatari kuwakomesha Coulibaly, Chama, Kagere, Okwi Zahera akwea pipa kumalizana na aliowapigia simu Akina Lunyamila, Mmachinga, Mayay wapewa shavu ‘bab kubwa’ WINFRIDA MTOI NA TIMA SIKILO MAMBO yamezidi kunoga Yanga kuhusiana na suala zima la usajili, ambapo uongozi wa klabu hiyo umesisitiza kutotaka masikhara katika mchakato huo, mkakati wao ukiwa ni kunasa wachezaji watakaounda kikosi cha karne. Achana na kufanya vibaya msimu uliopita na kujikuta wakipoteza ubingwa wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara au mwenendo wao wa sasa unaotishia kuwatoa kappa. Kilichowapandisha hasira watu wa Yanga na kujikuta...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News