Yanga yamtafuta ubaya Mo

*Kwa walichopanga kukifanya, Wekundu wa Msimbazi lazima walie Ligi Kuu Bara NA ZAITUNI KIBWANA ZIKIWA zimebaki siku tatu kabla ya Yanga kuvaana na Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Kocha Mkuu wa Wanajangwani hao, Mwinyi Zahera, ametamba kuendeleza ushindi lengo likiwa ni kuzidi kujikita kileleni mwa kipute hicho hadi mwisho. Kauli hiyo ya Zahera huenda zikawa ni habari mbaya kwa watu wa Simba, akiwamo mwekezaji wao, Mohammed Dewji ‘MO’, ambao wanatamani kukiona kikosi cha Wekundu wa Msimbazi hao kikiendelea...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News