Yanga yapangua kikosi, Tshishimbi ‘out’

NA HUSSEIN OMAR KIKOSI cha Yanga jana kilipiga tizi la kufa mtu katika Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini, jijini Dar es Salaam, kujiandaa na mchezo wake dhidi ya Azam FC bila ya nyota wake, Papy Kabamba Tshishimbi, ambaye anauguza majeraha ya goti. Yanga na Azam zinatarajia kuvaana Aprili 29 mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hizo kukutana msimu huu. Katika kuhakikisha wanafanya kweli, kikosi cha Yanga chini ya Kocha Mwinyi Zahera, jana kilipiga tizi la kufa mtu kwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 25 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News