YANGA YAPEWA MCHONGO

NA ZAITUNI KIBWANA   YANGA wametakiwa kutofanya kosa la kutumia ipasavyo fursa ya kucheza mechi 11 mfululizo za nyumbani kwa kuhakikisha wanashinda zote na hivyo kujiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mechi hizo zitapigwa kwenye viwanja vya Taifa na Uhuru, Dar es Salaam, huku watani wao wa jadi, Simba, wakitoka nje ya jiji hilo, kesho wakitarajiwa kuivaa Ndanda FC ya Mtwara kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona. Akizungumza na BINGWA jana, nahodha wa zamani wa timu hiyo, Ally Mayay, alisema Yanga mara zote wanazotangaza ubingwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News