Zahera: Yanga haina watu?

*Ashangaa vijana wake wanavyoishi kimasikini wakati wanaiingizia timu mamilioni ya fedha *Wajanja wachache waendelea kuing’ang’ania timu mikoani, wagombania ukuu wa msafara NA HUSSEIN OMAR KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera, amewashangaa matajiri wenye mapenzi na klabu hiyo kwa kushindwa kuisaidia timu hiyo ambayo kwa sasa imekumbwa na ukata. Yanga ipo kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kufikisha pointi 38 katika mechi 14 walizocheza, lakini taarifa ndani ya klabu hizo zinadai timu imekumbwa na ukata na kushindwa kulipa wachezaji mishahara ya miezi minne sasa. Akizungumza na BINGWA juzi...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Wednesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News