ZFA Yapokea Zawadi za Ubingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar Msimu wa 2017/2018.

Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA) kinaendelea kupokea zawadi za Ubingwa wa Ligi kuu Soka ya Zanzibar kwa msimu wa mwaka 2017-2018 ambazo zitatolewa rasmi Oktoba 18, 2018 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa kati ya Bingwa wa ligi kuu ya Zanzibar ambao ni JKU dhidi ya Bingwa wa Kombe la FA ambae bado hajapatikana.Akikabidhi zawadi hizo Afisa Uhusiano wa Kampuni ya ZAT Ali Juma (Ali Raza) amesema kutokana na kuguswa na Michezo wameona ipo haja kusaidia zawadi hizo kwa Bingwa na Makamu Bingwa wa ligi kuu ya Zanzibar.Amewaomba...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 10 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News