Ziara ya JPM inatufundisha makubwa

Rais John Magufuli anaendelea na ziara yake maalumu katika baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa. Ziara hii imezidi kutufumbua macho juu ya masuala ya wananchi kukosa mawasiliano mazuri na viongozi wa ngazi za chini, au kukosekana kwa uwajibikaji kati ya wananchi na viongozi wa ngazi ya chini....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News