Ziara ya Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Mkoani Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na  Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene, wakati akiwasili Wilayani Mpwapwa, akiwa anamalizia ziara yake mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018, katikati ni Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na  Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje, wakati akiwasili Wilayani Mpwapwa, akiwa anamalizia ziara yake mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018, kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Jabir Shekimweri, Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene, Mkurugenzi wa Katibu Tawala Mkoa Dodoma Maduka Kessy.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News