Zidane aanza kukoroga zege

Ukiona ufa unapaswa ukoroge zege uzibe. La si hivyo kuna mawili uhame hiyo nyumba au ujitoe ufaham iporomoke ikuulie ndani. Zidane amefika na tayari amekwisha aanza kukoroga zege. Shida ya Madrid ukiangalia kwa makini utagundua inaruhusu sana magoli. Zidane ameanza kuwasaka waritho wa Ramos na Marcelo. Madrid imekamilisha dili la Éder Gabriel Militão (21) mzaliwa na kule Sertãozinho, Brazil anayekipiga Porto. Eder ni beki wa kati ambaye atakwenda kusaidiana na akina Varane na Ramos. Awali alitokea Sao Paolo kabla ya kujiinga na Porto. Kufikia sasa ngazi ya klabu amecheza michezo...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News