ZIDANE AANZA USAJILI UNITED

MANCHESTER, England   IMEELEZWA kuwa tayari kocha Zinedine Zidane, ameanza kusaka mastaa kwa ajili ya kikosi chake Manchester United. Hiyo inachochea tetesi zilizopo kwamba, Mfaransa huyo anajipanga kuchukua mikoba ya Jose Mourinho pale Old Trafford. The post ZIDANE AANZA USAJILI UNITED appeared first on Bingwa....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News