Zitto ashikiliwa Z’bar, Uhamiaji wamkabidhi kwa Polisi

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amekamatwa na Maofisa Uhamiaji Visiwani Zanzibar, akiwa njiani kuelekea nchini Kenya, kabla ya kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa ya kushikiliwa Zitto imetolewa leo tarehe 11 Juni 2019 na chama cha ACT -Wazalendo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter. Taarifa hiyo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News