Zitto atinga ofisi za CUF, ajifungia na Maalim Seif

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 18 Machi 2019 amefika katika Ofisi ya Wabunge wa Chama cha Wananchi (CUF) Magomeni jijini Dar es Salaam kuzungumza na Maalim Seif Shariff Hamad. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Zitto ambaye ni Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo alifika ofisini hapo muda mfupi baada ya Maalim Seif, aliyekuwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News