Zitto awataka mawaziri wa JPM wajiuzulu, kisa MV Nyerere

Anaandika Zitto Kabwe Ajali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri? Ni masikitiko makubwa kwamba, Serikali ya wanyonge imeokoa mtu mmoja, wakati wananchi wenyewe wameweza kuokoa watu 40….. hii ni aibu kubwa sana. Watu 225 wamepoteza maisha sababu ya uzembe. Tuache kujidanganya na mapenzi ya Mungu. Mungu katupa akili, namna ya kuzitumia ni ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 23 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News