Zitto: Bajeti ya ununuzi ndege, afya ngoma droo

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, amekosoa bajeti ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20, kwa kuweka fedha za ununuzi wa ndege kiwango sawa na fedha za kuhudumia afya za Watanzania. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Akichambua bajeti ya serikali iliyowasilishwa bungeni na Dk. Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango tarehe 13 Juni 2019, Zitto ambaye ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News