Zitto: Sikuona mambo haya serikali zilizopita

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kuwa, katika tawala za marais watatu waliopita, hakuwahi kuona mambo yanayofanyika kwenye serikali ya sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Amedai, kwenye serikali hizo zilizopita – uongozi wa Alhaj Ali Hassani Mwinyi, Rais Benjamin Mkapa na Rais Jakaya Kikwete, hakukuwa na ulaghai kwa wananchi kama ilivyo sasa. ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News