Zoezi la Uokaji Likiendele Katika Ziwa Victoria Mwanza.

Waokoaji wakiwa katika zoezi hilo pembezoni mwa kivuko hicho cha Mv Nyerere kilichopinduka na kupelekea maafa ya Wananchi waliokuwemo katika kivuko hicho kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa ,katika eneo la ukara ,kisiwa cha Ukerewe jijini Mwanza, wakiendelea na zoezi hilo kutafuta miili ya abiri wa kivuko hicho.Mv Nyerere hufanya safari zake kati ya Bugorora na Ukara katika Wilaya ya Ukerewe mkoani mwanza, kilipata ajali alhamishi ya wiki hii septemba 20/9/2018 kikikadiriwa kubeba abiria idadi kubwa kuzidi uwezo wake.Kwa Mujibu wa taarifa iliotolewa na Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Saturday, 22 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News